Man City, Arsenal zashinda
Katika
mechi iliyochezewa nyumbani ugani Etihad, Muajentina Carlos Tevez
alipachika bao wavuni kunako dakika ya 61 na hivyo kuipatia timu yake
ushindi muhimu dhidi ya Swansea City.
Mechi
hiyo ilikuwa na dakika 12 sekunde 42 za nyongoza na hivyo kuvunja
rekodi ya muda wa ziada wa kipindi cha pili katika historia ya Ligi ya
Premier.
Katika
upande mwingine, Arsenal imenusurik
a kwa kuifunga timu inayoshika mkia ya Queens Park Rangers katika mechi iliyochezewa uwanja wa Emirates mjini London. Mkwaju wa Mikel Areta katika dakika ya 84 ndio uliowanusuru vijana wa Gunners waliokuwa wakicheza nyumbani.

Arsenal
walifanikiwa kufunga bao hilo baada ya Queens Park Rangers kubakia na
wachezaji 10 pale Mkameroon Stepane Mbia alipopewa kadi nyekundu katika
dakika ya 79
Category: sports
0 comments