TAHADHARI: MITANDAO YA NGONO HUTUMIA PICHA ZAKO ZA FACEBOOK. JIHADHARI MAPEMA

Unknown | Tuesday, October 23, 2012 | 0 comments








Wakati msichana anapoweka picha ya faragha kwenye profile yake inayoonesha mapaja yake ama viungo vingine vya siri na kusifiwa na washkaji kwa comments kama ‘wewe ni mrembo sana’ ni bora akatambua pia kuwa picha yake hiyo inaweza kuwa chakula kizuri kwa mitandao ya ngono, kwa mujibu wa utafiti.
Kuna onyo kwamba unapoweka picha za aina hiyo kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, kuna uwezekano mkubwa wa picha hizo kuchukuliwa na kutumiwa kwenye ‘websites  za ngono’.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments