WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL WAOMBA RADHI KWA PICHA ZA UCHI JUKWAANI

Unknown | Wednesday, October 17, 2012 | 0 comments

Wema Sepetu (katikati) akizungumza na wanahabari katika ukimbi wa habari maelezo jijini Dar kwa nia ya kuomba radhi kwa watanzania kwa niaba yake na msanii mwenzake Ant Ezekiel kuhusiana na tukio la wao kupigwa picha zilizowaonyesha nusu uchi wakati wakijiachia katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma. Kulia ni Msanii wa Bongo Movie Ant Ezekiel na kushoto Katibu Mkuu wa TAFF Wilson Makubi.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments